23/10/2026
WINGU RADIO LIVESTREAM:
https://stream.wingu.fynradio.com
, funga wiki kwa burudani kuanza 2pm_6;00ndani ya WINGU MEDIA . Wikendi umeipanga vipi?!
gumzo la siku: partner wako akigundua Una cheat na akose kureact je hiyo ni kawaida ama ni red flag??
0783 790 150 ama 0706 126 944.
Watakie wawili watatu wikendi njema, ukiandaman nami smartlady