08/10/2023
Happiness family
Nanyi k**a mkiona ni vibaya kumtumikia Bwana, chagueni hivi leo mtakayemtumikia; kwamba ni miungu ile ambayo baba zenu waliitumikia ng'ambo ya mto, au kwamba ni miungu ya wale Waamori ambao mnakaa katika nchi yao; lakini mimi na nyumba yangu tutamtumikia Bwana.
Mimi na nyumba yangu tumechagua kumtumikia Bwana wa majeshi katika hali zote. Iwe mvua, au jua, kiangazi, au masika, kwenye raha, au shida, kwenye shibe au njaa, bado hatutaacha kumtumikia Bwana, kwasababu tumeuona wema wa Mungu maishani mwetu.