Kumbota Tz

Kumbota Tz Artist football

22/06/2024

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Rajabu Kubongo, Bob Boy

18/02/2023
MARCUS RASHFORD NI MOTO🔥🔥Mshambuliaji wa Manchester United na Tim ya taifa ya England MARCUS RASHFORD (25) amekua tishio...
25/01/2023

MARCUS RASHFORD NI MOTO🔥🔥

Mshambuliaji wa Manchester United na Tim ya taifa ya England MARCUS RASHFORD (25) amekua tishio sana kwa Tim pinzani kwani amekua na kiwango Bora sana Msimu huu tangu alipotoka kwenye kombe la Dunia nchini Qatar, Rashford katika michezo nane (8) iliyopita ndani ya kikosi Cha Manchester United ameweza kufunga katika michezo Saba huku mchezo mmoja tu dhidi ya Crystal palace ndio hakuwza kufunga... Katika michezo hiyo nane ameweza kufunga magoli kumi (10), magoli matano (05) ni ya EPL, magoli matatu (03) ni ya EFL na magoli mawili (02) ni FA

Unazungumziaje kiwango chake Msimu huu??
______________________________
Tunakuomba mpezi mfuatiliaji K**a unapendezwa na taarifa zetu share posts kwa wenzako kwa magroup ya facebook na whatsap.
________________________________________
--------------------------------------------------------------------------______
Endelea kufatilia page yetu ili uwe unapata taarifa zote za kimichezo nje na ndani ya Tz.
tz
All your favorite is here

KWA MAONI MAPENDEKEZO NA USHAURI TUPIGIE KUPITIA NO 0688888857 a 0719588857au 0626266677.🙏

Mna mashaka tena? 😀Tayari amefungua akaunti yake ya mabao dhidi ya Nottingham Forest, Wout Werghost straika wa mpira.
25/01/2023

Mna mashaka tena? 😀Tayari amefungua akaunti yake ya mabao dhidi ya Nottingham Forest, Wout Werghost straika wa mpira.

RASMI SIMBA imetangaza kocha msaidiziYoung Africans Sports ClubAzam TVSimba SC TanzaniaMillardAyo
19/01/2023

RASMI SIMBA imetangaza kocha msaidizi

Young Africans Sports Club

Azam TV

Simba SC Tanzania

MillardAyo

04/07/2020

big smile

Address

Chittagong Division

Telephone

+255688888857

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kumbota Tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Kumbota Tz:

Share